Ingia
  Create an account
Ukarasa Yako
Ingia Kati
 
 
 
Kiswahili

- Ukurasa Kuu
- Kumi Juu
- Mada Mpya
- Salimisha Habari
- Tafuta
- Kiswahili Jukwaa
- Kiswahili Wanachama
- Tathmini
- Ujumbe wa Kibinafsi
- Tafiti
- Majarida
- Hadithi Archive
- Maudhui
- Viungo vya Wavuti
- Vipakuliwa
- Maswali ya Kawaida
- Tunapendekeze
- Orodha ya Kuingia


Kubwa Hadithi Ya Leo

Hakuna hadithi kubwa ya leo, bado. Jiunge Sasa!

Idadi Ya Habari Kwa Mzunguko


Ulimwengu wa Kiislamu na masuala ya Kiis
[ Ulimwengu wa Kiislamu na masuala ya Kiis ]

·Jinsi Ya Kumfurahisha Mumeo
·Jinsi Ya Kumfurahisha Mkeo
·Manufaa Na Matatizo Katika Ndoa
·Facebook Au Fitnabook
·Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Nane - Wanaume Na Wanawake Wanaofunga
·Tabia Za Mwenendo Wa Kiislamu
·Yaliyokuwa Sunnah Na Bid'ah Katika Sherehe Za 'Iyd
·Haki Hii Haki Gani Mbele Ya Allaah?
·Baada Ya Kuhamia Madiynah: Mwenendo Wa Mitume ('Alayhimus Salaam)

Nani Ni Online

Saa hii, kuna hatua ya baraza na wewe mwenyewe 2 Mgeni (wageni) na 3 mwanachama (s) ambayo juu ya Hatua.

Mwanachama (wanachama) pamoja na wanachama wa Awqaf. kuona ni nyingine mbunge (s) online na wewe click Kubonyeza Hapa

Tafuta
Lugha

Mabadiliko ya lugha mbalimbali::


Categories Menu

Hakuna bidhaa sasa hivi kwa ajili ya kuzuia hili.

Sanduku Kuingia

Utani

Siri

Hawana akaunti bado? Unaweza kujenga mmoja. Kama Mtumiaji aliyesajiliwa unaweza kuwa na baadhi ya faida kama meneja wa mandhari, comments Configuration na maoni post kwa jina yako.

Makala Ya Zamani

Monday, December 03
· Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Saba - Wanaume Na Wanawake Watoao Sadaka
· Umuhimu Wa Kuchunga Wakati
· Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Tisa - Wanaume Na Wanawake Wanojihifadhi Tupu
· Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Kumi (Ya Mwisho) Wanaume Na Wanawake Wanaomdhu
· Tabia Za Mwenendo Wa Kiislamu
· Unavaa 'NIKE', Je, Unajua Maana Yake?
· Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Kumi (Ya Mwisho) Wanaume Na Wanawake Wanaomdhu
· Msamaha Na Ujira Mkubwa Tutakaopata Baada Ya Kuzichuma Sifa Kumi Njema
Friday, June 29
· Sha'abaan: Fadhila Zake Na Uzushi Wa Nisfu Sha'abaan - Nasiha Za Minas
· Makatazo Ya Kishari'ah Kwa Wanawake - 5
· Matumizi Ya Kunufaisha Ya Habbat-sawdaa-3 (habba Soda - Chembe Nyeusi ) Sunnah -
· Matayarisho Ya Ramadhaan: Jitathmini Kabla Ya Ramadhaan
· Makatazo Ya Kishari’ah Kwa Wanawake - 4
· Yaliyokuwa Sunnah Na Bid'ah Katika Sherehe Za 'Iyd
· Makatazo Ya Kishari’ah Kwa Wanawake - 3
· Fadhila Za Swawm: Funga inamuokoa mtu kutokana na moto, Swawm ni kinga kutokana
· Makatazo Ya Kishari’ah Kwa Wanawake - 2
· Matumizi Ya Kunufaisha Ya Habbat-sawdaa-2 (habba Soda - Chembe Nyeusi ) Sunnah -
· 'Iyd Taratibu Na Shari'ah Zake: Ahkaamul-'Iyd (Shari'ah Kati
· Makatazo Ya Kishari’ah Kwa Wanawake - 1
· Matumizi Ya Kunufaisha Ya Habbat Sawdaa-1 (haba Soda - Chembe Nyeusi )
Thursday, May 10
· Ukweli Kuhusu Mazishi Ya Kiislamu
· Haki Hii Haki Gani Mbele Ya Allaah?
· Simulizi (Kisa) Ya Hijaab Ya Khawla: Maoni ya Hijaab
· Baada Ya Kuhamia Madiynah: Mwenendo Wa Mitume ('Alayhimus Salaam)
· Mtume (Swalla Llaahu ‘Alayhi Wa Sallam) Akiwa Madiynah
· Hukumu Za Janaazah
· Makosa Ya Msingi Yaliyomo Ndani Ya Katiba Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kwa
· Maovu Yanaofanyika Katika Sherehe Za ‘Arusi (Harusi)
· Isbaal – Vazi La Mwanamme Lenye Kuvuka Mafundo Ya Miguu (Uburuzaji Au Kuburura)
· Wasiya Wa Kishari'ah Wa Muislamu Kabla Hajafariki
· Fataawa Za Wanachuoni Kuhusu Mavazi Ya Mwanamke ‘Arusini Na Wanapokuwa Na Wanawa
· Maslahi Ya Jamii Ndani Ya Shari'ah
· Hijrah: Chanzo Cha Mageuzi
· Yampasayo Maiti
· Hijaab - Kuwajibika Kwake
· Kumtii Allaah Na Mtume Ni Njia Pekee Ya Uongofu
· Kauli Za Maimaam Wanne Kuhusu Kushikamana Na Sunnah Na Kuacha Kufuata Rai Zao
· Rudi Tena Ukaswali, Kwani Hukuswali Kwa jina la Allaah, Mwingi wa Rehma, Mwenye
· Kumpenda Mtume (SAW) Ni Kumtii Na Kumfuata
· Mwito Kutoka Masjidul-Haraam Kwa Wanawake Wote Waislamu Ulimwenguni!
· Mjue Mtume Wako (SAW) Vizuri Uzidi Kumpenda
· Hukmu Ya Kufuga Ndevu
· Kazi Katika Uislam: UTANGULIZI, HADHI YA KAZI, KAZI ZILIZOHARAMISHWA,
Tuesday, October 05
· Ingia Katika Milango Mingi Ya Kheri Ya Ramadhaan
· Tumkumbuke Allaah Sana Na Tuombe Maghfirah Baada Ya Kutenda Mema Katika Siku Kum
· Hajj: Hatua Kwa Hatua: Tazama Televisheni Ya Saudi Arabia kujua wanayofanya Mahu
· Makos Tanayohusu Twawaaf, Sa'y, Yanayotendeka Minaa, Katika Kisimamo Cha &#
Tuesday, May 11
· HADIYTH ARUBAINI ZA IMAAM AN-NAWAWIY NA TAFSIYR YA KISWAHILI
· SUNNAH NZURI KATIKA UISLAM: Jibu la Sheikh 'Abdul 'Aziz bin Baaz

Wazee Makala

Kiswahili

- Ukurasa Kuu
- Kumi Juu
- Mada Mpya
- Salimisha Habari
- Tafuta
- Kiswahili Jukwaa
- Kiswahili Wanachama
- Tathmini
- Ujumbe wa Kibinafsi
- Tafiti
- Majarida
- Hadithi Archive
- Maudhui
- Viungo vya Wavuti
- Vipakuliwa
- Maswali ya Kawaida
- Tunapendekeze
- Orodha ya Kuingia

Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Kumi (Ya Mwisho) Wanaume Na Wanawake Wanaomdhu
 
 
Wanawake Ndoa Urafiki Katika Uislamu Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Kumi (Ya Mwisho) Wanaume Na Wanawake Wanaomdhukuru 

Sana Allaah Anasema Allaah سبحانه وتعالى:إِنَّ الْمُسْلِمِينَ وَالْمُسْلِمَاتِ وَالْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ وَالْقَانِتِينَ وَالْقَانِتَاتِ وَالصَّادِقِينَ وَالصَّادِقَاتِ وَالصَّابِرِينَ وَالصَّابِرَاتِ وَالْخَاشِعِينَ وَالْخَاشِعَاتِ وَالْمُتَصَدِّقِينَ وَالْمُتَصَدِّقَاتِ وَالصَّائِمِينَ وَالصَّائِمَاتِ وَالْحَافِظِينَ فُرُوجَهُمْ وَالْحَافِظَاتِ وَالذَّاكِرِينَ اللَّهَ كَثِيرًا وَالذَّاكِرَاتِ أَعَدَّ اللَّهُ لَهُم مَّغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا ﴿35 

((Hakika Waislamu wanaume na Waislamu wanawake, na Waumini wanaume na Waumini wanawake, na watiifu wanaume na watiifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wasemao kweli wanawake, na wanaosubiri wanaume na wanaosubiri wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanyenyekevu wanawake, na watoao sadaka wanaume na watoao sadaka wanawake, na wanaofunga wanaume na wanaofunga wanawake, na wanaojihifadhi tupu zao wanaume na wanawake na wanaomdhukuru Allah kwa wingi wanaume na wanawake, Allah Amewaandalia msamaha na ujira mkubwa)) [Al-Ahzaab:35] 

 Kama tunavyoona katika Aayah hiyo tukufu kwamba kumdhukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) kwa wingi ni sifa ya kumi na ya mwisho; mja atakapoweza kuzichuma sifa zote hizo kumi basi malipo yake yatakuwa ni kusamehwa madhambi yao na kulipwa thawabu nyingi kabisa.


قَالَ اِبْن أَبِي حَاتِم عَنْ أَبِي سَعِيد الْخُدْرِيّ رَضِيَ اللَّه عَنْهُ قَالَ : إِنَّ رَسُول اللَّه صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ ((إِذَا أَيْقَظَ الرَّجُل اِمْرَأَته مِنْ اللَّيْل فَصَلَّيَا رَكْعَتَيْنِ كَانَا تِلْكَ اللَّيْلَة مِنْ الذَّاكِرِينَ اللَّه كَثِيرًا وَالذَّاكِرَات)) أبو داود ،

Ibn Abi Haatim amesesma kutoka kwa Abi Sa'iydil-Khudriy (Radhiya Allahu 'anhu) kwamba Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: (Mume akimuamsha mkewe usiku wakaswali Rakaa mbili watakuwa usiku huo ni miongoni mwa wale wanaume na wanawake wanaomdhukuru Allah sana)) [Abu Daawud]

عَنْ أَبِي هُرَيْرَة رَضِيَ اللَّه عَنْهُ قَالَ : كَانَ رَسُول اللَّه صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ يَسِير فِي طَرِيق مَكَّة فَأَتَى عَلَى جُمْدَان فَقَالَ ((هَذَا جُمْدَان سِيرُوا فَقَدْ سَبَقَ الْمُفَرِّدُونَ)) قَالُوا وَمَا الْمُفَرِّدُونَ ؟ قَالَ صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ ((الذَّاكِرُونَ اللَّه كَثِيرًا وَالذَّاكِرَات)) ثُمَّ قَالَ صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ ((اللَّهُمَّ اِغْفِرْ لِلْمُحَلِّقِينَ)) قَالُوا وَالْمُقَصِّرِينَ قَالَ ((اللَّهُمَّ اِغْفِرْ لِلْمُحَلِّقِينَ)) قَالُوا وَالْمُقَصِّرِينَ قَالَ ((وَالْمُقَصِّرِينَ)) إمام أحمد تفرد به من هذا الوجه، ورواه مسلم دون آخره

Kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allahu 'anhu) kwamba: Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akitembea katika njia ya Makkah na alipofika mlima wa Jumdaan akasema: ((Huu ni (mlima wa) Jumdaan, endeleeni kwani Mufarriduun wametangulia mbele)). 

Wakasema: Ni nani Mufarraduun? Akasema: ((Wanaomdhukuru Allah sana wanaume na wanawake)). 

Kisha akasema: ((Ewe Allah, Waghufurie walionyoa nywele zao)). Wakasema: "Na waliopunguza". 

Akasema: ((Ewe Allah Waghufurie walionyoa nywele zao)). 

Wakasema: "Na waliopunguza". 

Akasema: ((Na waliopunguza)). 

[Imaam Ahmad kaipokea kwa masimulizi hayo, na Muslim bila ya maelezo ya mwisho]

Kumkumbuka Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) ni amri pia kutoka Kwake kama Anavyosema:

(( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اذْكُرُوا اللَّهَ ذِكْراً كَثِيراً))

((Enyi mlioamini mtajeni Allah sana)) [Suratul-Ahzaab: 41]Na fadhila za kumdhukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) ni nyingi sana, tutazitaja chache tu hapa:Ukimkumbuka Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Naye Atakukumbuka:Amesema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala).

((فَاذْكُرُونِي أَذْكُرْكُمْ وَاشْكُرُواْ لِي وَلاَ تَكْفُرُونِ ))

((Nitajeni Nami Nitawataja, na Nishukuruni na wala msinikufuru)) [Suratul Baqarah:152]

Ni ibada bora kabisa yenye daraja ya juu:

قَالَ رَسُول اللَّه صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ ((أَلَا أُخْبِركُمْ بِخَيْرِ أَعْمَالكُمْ وَأَزْكَاهَا عِنْد مَلِيككُمْ وَأَرْفَعهَا فِي دَرَجَاتكُمْ وَخَيْر لَكُمْ مِنْ تَعَاطِي الذَّهَب وَالْفِضَّة وَمِنْ أَنْ تَلْقَوْا عَدُوّكُمْ غَدًا فَتَضْرِبُوا أَعْنَاقهمْ وَيَضْرِبُوا أَعْنَاقكُمْ ؟ قَالُوا بَلَى يَا رَسُول اللَّه قَالَ ذِكْر اللَّه عَزَّ وَجَلَّ)) أحمد

((Hivi niwaambieni khabari ya matendo yenu bora, na ambayo ni masafi mno mbele ya Mola wenu, na ambayo ni ya juu mno katika daraja zenu, na ambayo ni bora kwenu kuliko kutoa dhahabu na fedha, na ambayo ni bora kuliko kukutana na adui zenu, mkawapiga shingo zao)) Wakasema masahaba: Ndio . Akasema Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ((Ni kumtaja Allah)) [Ahmad]

Mwenye kumkumbuka Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) huwa karibu Naye:

وقال صلى الله عليه وسلم ((يقول الله تعالى : أنا عند ظن عبدي بي ، وأنا معه إذا ذكرني ، فإن ذكرني في نفسه ذكرتهُ في نفسي ، وإن ذكرني في ملأ ذكرته في ملأ خير منهم ،وإن تقرب إلى شبراً تقربت إليه ذراعاً ،وإن تقرب إلي ذراعاً تقربت إليه باعاً ، وإن أتاني يمشي أتيتهُ هرولة)) البخاري و مسلم

Amesema Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) 

((Allah Anasema: Mimi Niko mbele ya dhana ya mja Wangu Kwangu, akinitaja moyoni Nami Ninamtaja moyoni na akinitaja katika kundi, Nami Namtaja katika kundi bora zaidi ya hilo lake, na akijikurubisha Kwangu paa moja, basi Mimi Najikurubisha kwake kiasi cha dhiraa, na akijikurubisha Kwangu kiasi cha dhiraa, basi Mimi Nitajikurubisha kwake kiasi cha kunyoosha mkono hadi kati ya kifua, na akinijia kwa mwendo mdogo basi Nami Nitamjia kwa mwendo wa kasi)) [Al-Bukhaariy na Muslim]

Asiyemkumbuka Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) ni kama mtu aliyekufa:

قال صلى الله عليه وسلم ((مثل الذي يذكر ربه والذي لا يذكر ربه مثل الحي والميت)) البخاري

((Mfano wa anayemtaja Mola wake na asiyemtaja ni mfano wa alie hai na maiti)) [Al-Bukhaariy] 

Kumkumbuka Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) ni ibada nyepesi inayowezwa kudumishwa

عن عبد الله بن بسرٍ رضي الله عنهُ أن رجلاً قال : يا رسول الله إن شرائع الإسلام قد كثرت علي فأخبرني بشيءٍ أتشبث به. قال : (( لا يزال لسانك رطباً من ذكر الله )) ألترمذي, إبن ماجه وصححه شيخ الألباني

Imepokelewa kutoka kwa Abdullah Bin Busr (Radhiya Allahu 'anhu) kwamba mtu mmoja alisema: Ewe Mjumbe wa Allah, ibada za dini zimekuwa nyingi kwangu, basi nieleze kitu ambacho nitaweza kudumu nacho. Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akamwambia: 

((Ulimi wako utaendelea kuwa rutuba (yaani sio ukavu) kwa kumtaja Allah)) [At-Tirmidhiy na Ibn Maajah na Sahiyh Shaykh Al-Albaaniy kataja kuwa ni sahihi] 

‘Abdulllah Ibn ‘Amru Ibn Al-‘Aasw - Swahaba aliyekuwa akimdhukuru sana Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala)Ni Swahaba ambaye aliingia katika Uislamu kabla ya baba yake tokea siku aliyochukua kiapo cha bay’aa (kiapo cha utiifu). Alikuwa mwenye moyo uliojaa nuru ya twaa ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala)Alitumia wakati wote katika kusoma na kuifahamu Qur-aan ili utakapofika wakati wa kumalizika wahyi wote awe ameshaihifadhi yote. Na hakuisoma tu kwa ajili ya uwezo wa kuihifadhi, bali aliisoma na kufuata amri zake kama Maswahaba wengineo.‘Abdullah ibn ‘Amru ibn Al-‘Aasw alikuwa Mcha Mungu sana, hakuna lolote ambalo lilimzuia au kumshughulisha na ibada. 

Katika vita na maadui wa Kiislamu alionekana katika mstari wa mbele kabisa akitamani kufa kama shahidi. Kisha msikitini daima akionekana, akiwa anafunga mchana, akiswali usiku na ulimi wake haukujua la kuzungumza ya kidunia ila tu kumtaja Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala). 

Alikuwa akikhitimisha Qur-aan kila siku moja. Hali yake hii ya ibada kutwa kucha ilimfanya Mtume (Swalla Allahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amuingilie katika ibada yake kwa kumnasihi apunguze ili afuate Sunnah zake na akipe kila kitu haki yake. Hadiyth yake ni ndefu mashuhuri iliyokusanywa na Maimam sita mashuhuri wa hadiyth. Na hapa chini ni masimulizi kutoka kwa Imam Muslim:

"كنت أصوم الدهر ، وأقرأ القرآن كل ليلة ، قال: فإما ذكرت لرسـول الله -صلى الله عليه وسلم- ، وإما أرسل لي ، فأتيته ، فقال : "ألم أُخبر أنك تصوم الدهر وتقرأ القرآن كل لـيـلـة ؟" فقلت: بلى يا نبي الله؛ ولم أرد إلا الخـيـر، قال:" فـإن بحـسـبك أن تصوم من كل شهر ثلاثة أيام... ، ثم قال : "واقرأ القرآن في كل شهر" ، قال: قلت: يا نبي الله: إني أطيق أفضل من ذلك ، قال :"فاقرأه في سـبـع، ولا تـزد عـلــى ذلك ، فإن لزوجك عليك حقاً ، ولزورك عليك حقاً ، ولجسدك عليك حقاً"، قال : فشددت ؛ فشدد علي ، قال: وقال لي النبي-صلى الله عليه وسلم- :"لعلك يطول بك العـمــر" ، فصرتُ إلى الذي قال لي النبي-صلى الله عليه وسلم- ، فلما كبرت وددت أني قبلت رخصة النبي-صلى الله عليه وسلم-.

Nilikuwa nikifunga mwaka mzima, na nikisoma Qur-aan kila usiku". Akasema: Alipojulishwa Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akaniita kwake nikaenda. Akasema: 

((Nimesikia kwamba unafunga mwaka mzima na unasoma (unakhitimisha) Qur-aan kila usiku?)) Nikasema: Ndio ewe Mtume wa Allah. Wala sitaki lolote ila kheri tu. Akasema: ((Inakutosheleza ukifunga katika kila mwezi siku tatu…)) 

Kisha akasema: ((Na usome Qur-aan (ukhitimishe) kila mwezi)). 

Akasema: Nikasema: Ewe Mtume wa Allah, mimi hakika naweza kufanya vizuri zaidi ya hivyo. Akasema: ((Basi soma katika siku saba na usizidishe juu ya hivyo, kwani mke wako ana haki na wewe, na wageni wako wana haki kwako, na mwili wako una haki kwako)). 

Akasema: Kila nikimkazania (nizidishe ibada) alikuwa akinikazania (nipunguze ibada). Akasema: Akaniambia Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): 

((Huenda umri ukawa mrefu kwako)) Nikaendeleza (ibada) kama alivyoniambia Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam). Nilipokuwa mkubwa kiumri nilipendelea kufuata rukhsa aliyonipa Nabii (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
 
 
 Posted By Posted juu ya Saturday, March 09 @ 17:14:43 PST na MediaSwahiliTeam
 
 
:-: Go Home :-: Go Top :-:
 
 
 
Comments & Debates :-: التعليقات والمحاورات

 
 
For Your Membership Comments And Registered Debates Please, See Below Or Register Here :-: للحصول على تعليقات عضويتك و مناقشات الأعضاء انظر من فضلك أدناه أو سجّل هنا
 
 
:-: Go Home :-: Go Top :-:
 

Kuhusiana Viungo

· zaidi Wanawake Ndoa Urafiki Katika Uislamu
· Habari na MediaSwahiliTeam


Kweli kusoma hadithi kuhusu Wanawake Ndoa Urafiki Katika Uislamu:
EDA - Hikma Yake, Hukmu Zake, Yanayopasa Na Yasiyopasa


Kifungu Rating

Wastani matokeo: 0
Kura: 0

Tafadhali chukua ya pili na kupiga kura kwa ajili ya makala hii:

bora Vizuri Sana Mema Kawaidar Mbaya

Chaguzi


 Chapa Rafiki Chapa Rafiki


Mada zinazohusiana

Wanawake Ndoa Urafiki Katika Uislamu

 

 
EsinIslam The Muslim World Portal For Islamics, News, Fatwas, Audios, Videos, Muslim News, Quranic Islamic Articles, Radio, Audio Quran, TV Channels, Fatwa Rulings, Muslim News Newspapers Magazines Headlines Articles Forums Schools, Universities, Colleges, Mosques, Qur'an, Hadith, Sunnah, Fiqh, Prayers, Salat, Fasting Ramadan, Vidoes, Books On EsinIslam.Com And Muxlima.Com

  :-: Go Home :-: Go Top :-: