Ingia
  Create an account
Ukarasa Yako
Ingia Kati
 
 
 
Kiswahili

- Ukurasa Kuu
- Kumi Juu
- Mada Mpya
- Salimisha Habari
- Tafuta
- Kiswahili Jukwaa
- Kiswahili Wanachama
- Tathmini
- Ujumbe wa Kibinafsi
- Tafiti
- Majarida
- Hadithi Archive
- Maudhui
- Viungo vya Wavuti
- Vipakuliwa
- Maswali ya Kawaida
- Tunapendekeze
- Orodha ya Kuingia


Kubwa Hadithi Ya Leo

Hakuna hadithi kubwa ya leo, bado. Jiunge Sasa!

Idadi Ya Habari Kwa Mzunguko


bakom domstolens rättspraxis ya Kii
[ bakom domstolens rättspraxis ya Kii ]

·Hikma Ya Ruhusa Ya Ukewenza: Umoja wa Kiislamu wa Elimu Uchumi na Maendeleo Zanz
·Mama…Kisha Mama…Kisha Mama: Ni Mama Yako Ewe Mja Wa Allaah - Waja Wema Na Kuamil
·Haki Za Mume Na Mke: Nasaha Za Shaykh Kwa Wanandoa
·Msamaha Na Ujira Mkubwa Tutakaopata Baada Ya Kuzichuma Sifa Kumi Njema
·Simulizi (Kisa) Ya Hijaab Ya Khawla: Maoni ya Hijaab
·Hijrah: Chanzo Cha Mageuzi
·Kumtii Allaah Na Mtume Ni Njia Pekee Ya Uongofu
·Kumpenda Mtume (SAW) Ni Kumtii Na Kumfuata
·Mjue Mtume Wako (SAW) Vizuri Uzidi Kumpenda

Nani Ni Online

Saa hii, kuna hatua ya baraza na wewe mwenyewe 2 Mgeni (wageni) na 3 mwanachama (s) ambayo juu ya Hatua.

Mwanachama (wanachama) pamoja na wanachama wa Awqaf. kuona ni nyingine mbunge (s) online na wewe click Kubonyeza Hapa

Tafuta
Lugha

Mabadiliko ya lugha mbalimbali::


Categories Menu

Hakuna bidhaa sasa hivi kwa ajili ya kuzuia hili.

Sanduku Kuingia

Utani

Siri

Hawana akaunti bado? Unaweza kujenga mmoja. Kama Mtumiaji aliyesajiliwa unaweza kuwa na baadhi ya faida kama meneja wa mandhari, comments Configuration na maoni post kwa jina yako.

Makala Ya Zamani

Hakuna bidhaa sasa hivi kwa ajili ya kuzuia hili.

Kiswahili

- Ukurasa Kuu
- Kumi Juu
- Mada Mpya
- Salimisha Habari
- Tafuta
- Kiswahili Jukwaa
- Kiswahili Wanachama
- Tathmini
- Ujumbe wa Kibinafsi
- Tafiti
- Majarida
- Hadithi Archive
- Maudhui
- Viungo vya Wavuti
- Vipakuliwa
- Maswali ya Kawaida
- Tunapendekeze
- Orodha ya Kuingia
EsinIslam Media Swahili: Wanawake Ndoa Urafiki Katika Uislamu

Tafuta mada hii:   
[ Nenda nyumbani | Chagua Mada Mpya ]

Wanawake Ndoa Urafiki Katika Uislamu

Makatazo Ya Kishari’ah Kwa Wanawake – 6 Katazo La Kujipiga piga Na Kuchana Nguo
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
Imekusanywa Na: Abu Faatwimah  

Makatazo Ya Kishari’ah Kwa Wanawake – 6 Katazo La Kujipiga piga Na Kuchana Nguo Wakati Wa Msiba 

Katazo la Kuingia katika Hammamaat [sehemu za kuogea zilizojengewa kama vile mahodhi mabwawa na kadhalika na kuruhusiwa kutumiwa na kila mtu].  

 Jamii nyingi huweka sehemu ambazo huwa zinaruhusiwa kutumiwa na kila mtu kwa malengo tofauti kama vile mabustani, maduni na kadhalika; pia hutenga sehemu nyingine ili zitumike kwa malengo maalumu; kama vile sehemu za kuogea au kuogolea, au sehemu za kuumika, au sehemu za kukandwa, au sehemu za kutengenezwa nyuso au nywele, au sehemu za kupambwa, au sehemu za kubadilisha mavazi au kujilinga, au sehemu za kupumzika, au sehemu za kufua nguo na kadhalika. 

 Sehemu hizi katika baadhi ya jamii huwa ziko zilizotengwa maalumu kwa wanawake na kutenganishwa na za wanaume, na katika jamii nyingine huwa hakuna mtengano katika sehemu kama hizo; hivyo utaona baadhi ya jamii hata katika hospitali zao huwa wanawaweka wagonjwa wa kike na wa kiume katika chumba kimoja na chenye kuwatenganisha huwa ni pazia tu, na wako wenye kudai kutaka kuweko choo cha wote [wake kwa waume] bila ya mtengano. 


(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


Wanawake Ndoa Urafiki Katika Uislamu

Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Kumi (Ya Mwisho) Wanaume Na Wanawake Wanaomdhu
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Kumi (Ya Mwisho) Wanaume Na Wanawake Wanaomdhukuru 

Sana Allaah Anasema Allaah سبحانه وتعالى:إِنَّ الْمُسْلِمِينَ وَالْمُسْلِمَاتِ وَالْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ وَالْقَانِتِينَ وَالْقَانِتَاتِ وَالصَّادِقِينَ وَالصَّادِقَاتِ وَالصَّابِرِينَ وَالصَّابِرَاتِ وَالْخَاشِعِينَ وَالْخَاشِعَاتِ وَالْمُتَصَدِّقِينَ وَالْمُتَصَدِّقَاتِ وَالصَّائِمِينَ وَالصَّائِمَاتِ وَالْحَافِظِينَ فُرُوجَهُمْ وَالْحَافِظَاتِ وَالذَّاكِرِينَ اللَّهَ كَثِيرًا وَالذَّاكِرَاتِ أَعَدَّ اللَّهُ لَهُم مَّغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا ﴿35 

((Hakika Waislamu wanaume na Waislamu wanawake, na Waumini wanaume na Waumini wanawake, na watiifu wanaume na watiifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wasemao kweli wanawake, na wanaosubiri wanaume na wanaosubiri wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanyenyekevu wanawake, na watoao sadaka wanaume na watoao sadaka wanawake, na wanaofunga wanaume na wanaofunga wanawake, na wanaojihifadhi tupu zao wanaume na wanawake na wanaomdhukuru Allah kwa wingi wanaume na wanawake, Allah Amewaandalia msamaha na ujira mkubwa)) [Al-Ahzaab:35] 

 Kama tunavyoona katika Aayah hiyo tukufu kwamba kumdhukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) kwa wingi ni sifa ya kumi na ya mwisho; mja atakapoweza kuzichuma sifa zote hizo kumi basi malipo yake yatakuwa ni kusamehwa madhambi yao na kulipwa thawabu nyingi kabisa.


(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


Wanawake Ndoa Urafiki Katika Uislamu

EDA - Hikma Yake, Hukmu Zake, Yanayopasa Na Yasiyopasa
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
Muhammad Baawazir

Eda ni kipindi anachokaa mwanamke aliyeachika au aliyefiwa na mumewe, na baada ya kipindi hicho ndoa yake huwa halali. Na imeitwa eda kwa jina hili kutokana na jina la kiarabu ‘iddah’ kwa kukusanya kwake (idadi) ya miezi au ‘quruu’ [1] au hedhi au vipindi vya tohara ya hedhi.

HEKIMA YA KUHALALISHWA EDA
Hapa tunaona baadhi ya mawazo ya wanachuoni ambao wameona hizi ndizo hekima au sababu za kuwekewa eda shari'ah, ingawa hekima ya mwanzo na ya mwisho ni hiyo ya mwisho hapo chini ya fungu hili:
•Kutambua kama mwanamke ni mjamzito au la.
•Kuweza kubainika nasaba au kizazi ili kuepusha utata wa kutokujulikana nani ndiye baba.


(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


Wanawake Ndoa Urafiki Katika Uislamu

Haki Za Mume Juu Ya Mke
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
حق الزوج على زوجته: Haki Za Mume Juu Ya Mke
Shaykh ´Abu ´Abdul-Haliym ´Abdul-Haadiy
Mfasiri:
Abu Bakr Khatwiyb al-Atrush

Waja wa Allaah! Ninawausia baada ya kuiusia nafsi yangu kumcha Allaah, ndiyo zawadi yetu ya kukutana na Allaah.Anasema Allaah (Ta´ala):
وَتَزَوَّدُواْ فَإِنَّ خَيْرَ الزَّادِ التَّقْوَى وَاتَّقُونِ يَا أُوْلِي الأَلْبَابِ
“Na jitengezeeni zawadi. Na hakika bora yazawadi ni ucha Mungu. Na nicheni Mimi, enyi wenye akili!” (02:197)
Na anasema Mtume ( :( صلى لله عليه وسلم
"Muogope Allaah popote ulipo, na lifutishe ovu [baya] kwa jema, na tangamana na watu kwa tabia zilizo njema."(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


Wanawake Ndoa Urafiki Katika Uislamu

Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Tisa - Wanaume Na Wanawake Wanojihifadhi Tupu
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Tisa - Wanaume Na Wanawake Wanojihifadhi Tupu Zao

Anasema Allaah سبحانه وتعالى:
((إِنَّ الْمُسْلِمِينَ وَالْمُسْلِمَاتِ وَالْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ وَالْقَانِتِينَ وَالْقَانِتَاتِ وَالصَّادِقِينَ وَالصَّادِقَاتِ وَالصَّابِرِينَ وَالصَّابِرَاتِ وَالْخَاشِعِينَ وَالْخَاشِعَاتِ وَالْمُتَصَدِّقِينَ وَالْمُتَصَدِّقَاتِ وَالصَّائِمِينَ وَالصَّائِمَاتِ وَالْحَافِظِينَ فُرُوجَهُمْ وَالْحَافِظَاتِ ….))

((Hakika Waislamu wanaume na Waislamu wanawake, na Waumini wanaume na Waumini wanawake, na watiifu wanaume na watiifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wasemao kweli wanawake, na wanaosubiri wanaume na wanaosubiri wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanyenyekevu wanawake, na watoao sadaka wanaume na watoao sadaka wanawake, na wanaofunga wanaume na wanaofunga wanawake, na wanaojihifadhi tupu zao wanaume na wanawake…)) [Al-Ahzaab:35](Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


 

 
EsinIslam The Muslim World Portal For Islamics, News, Fatwas, Audios, Videos, Muslim News, Quranic Islamic Articles, Radio, Audio Quran, TV Channels, Fatwa Rulings, Muslim News Newspapers Magazines Headlines Articles Forums Schools, Universities, Colleges, Mosques, Qur'an, Hadith, Sunnah, Fiqh, Prayers, Salat, Fasting Ramadan, Vidoes, Books On EsinIslam.Com And Muxlima.Com

  :-: Go Home :-: Go Top :-: